MWANADADA ACHORA TATTOO(TATUU) KAMA YA RIHANNA CHINI YA MATITI!



COPY OF RIHANNA TATTOO

Siku chache baada ya mwanamuziki 'RIHANNA'kuonesha tatuu yake mpya aliyoichora chini ya matiti yake, tayarai wanadada wa pande nyingine hapa duniani wameanza kuiga mchoro wa tatuu ya 'RIHANNA' licha ya kuwa hawajui ni nini hasa lengo na maana ya mchoro huo ambao umechorwa na mwanamuziki huyo wa nchini Marekani. Picha juu ni moja ya wadada walioiga Tatuu hiyo akitokea huko pande za Nigeria kama anavyoonekana mara
baada ya kusambaza picha zake mtandaoni na kulia ndio picha halisi ya 'RIHANNA'.