AFUMWA LIVE GUEST HOUSE AKIMLA URODA NJEMBA MWENZAKE.!!
Tukio la aina yake ambalo ni aibu ya mwaka kwa wahusika na hata ndugu na jamaa wa karibu wa watu hao limetokea siku ya Mei 3 mwaka 2013 ndani ya gesti moja maarufu iliyopo Devi’s Corner iliyopoTandika, jijini Dar es Salaam ambapo Baba Salome na Julius Mwita walifumaniwa wakiwa katika hatua za mwisho za kuingiliana kimwili.Awali ilidaiwa kuwa, mwanaume huyo na baba Salome mwenye mke na watoto wawili wanaomtegemea kwa kila kitu, walionekana wakiingia kwenye gesti moja ambayo pia ipo maeneo hayo hali iliyozua maswali kwa watu waliokuwa wakiwafahamu.
Habari ziliendelea kunyetisha kuwa watu waliwafahamu kwa namna mbili tofauti, baba Salome ni mtulivu, mwadilifu lakini Mwita watu wanasema ana mambo ya kutaka kuwa faragha na wanaume wenzake bila kujulikana nini anakitaka katika usiri huo.
Madai zaidi yakawekwa wazi kwamba, baadhi ya watu walikwenda kwenye gesti walizokwenda wawili hao na kuulizia nini walikuwa wanakitaka, ndipo siri ikawekwa wazi kwamba wanatafuta chumba cha kupumzika kwa siku hiyo. Chanzo kikasema: Wambeya wakawaona wakiingia kwenye gesti ya tukio, wakapewa chumba. Ndipo wakakimbia nyumbani kwa baba Salome na kumtonya mkewe, mama Salome kwamba mumewe ameingia gesti.
Baba Salome (kulia) na Julius Mwita baada ya kufumaniwa wakiwa katika hatua za mwisho za kuingiliana kimwili.