VIDEO:Ali Kiba afunika Shoo ya Mwana Dar Live





Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live.

Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love.

Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.