HUYU NDIYE DEMU ALIYELALAMIKA KWENYE MITANDAO ETI ANASHINDWA KULALA MWENYEWE
Naitwa Lucy, Nimetokea kumpenda kijana mmoja ni mwaka sasa toka niwe nae ila kila siku yuko busy eti kuna mambo ya kifamilia yana msumbua kila siku nalala mwenyewe yeye yuko kwao eti anafuatilia mambo ya familia. Mi simuelewi kuna muda huwa nahitaji kuwa na mtu karibu anikumbatie anibembeleze lakini ndiio niko mwenyewe. Naombeni Ushauri jamani, Au nitafute Mchepuko anipeti peti..!1 Mana huyu ninae mpenda asomeki