POMBE SIO CHAI ANGALIA YALIYOMKUTA HUYU DADA



dada huyu baada ya kubugia mitungi alishindwa kutembea kuelekea home, na kuamua kulala kiroho safi barabarani, hii ni aibu sana kwa kina dada, kunywa kidogo bhana kwani na kesho si ni siku, sio unapiga mitungi kama hakuna