Lets move ni jina la campaign ambayo ilianzishwa na First lady wa Marekani, Michelle Obama ambapo kampeni hiyo inahusiana na kuhamasisha masuala ya kuzingatia mlo mzuri, pamoja na kuwa na furaha.
Sasa ni kwamba juzi Michellealikuwa kwenye Interview na Jimmy Fallon, ishu ninayokusogezea sio kile walichokiongea siku hiyo.. najua utaona kitu tofauti hapa.
Michelle na Jimmy walijiachia.. waka-dance muziki.. wanaonekana happy tuu.. nikajiuliza kitu, hivi ni rahisi kwa mke wa Rais huku Afrika eti kumkuta anacheza kama hivi?
Play hapa uwaone…