HUENDA IDRIS SULTAN AKAFULIA MUDA SIO MREFU AANGUKIA KWA WEMA ONA PICHA WAKIFANYA SHOPPING
Staa mrembo kutoka Bongo Movies , Wema Sepetu akiwa pamoja na mshindi wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakifanya manunuzi kwenye moja ya supermarket hapo bongo.
Hizi ni baadhi ya picha za Staa mrembo kutoka Bongo Movies , Wema Sepetu akiwa pamoja na mshindi wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakifanya manunuzi kwenye moja ya supermarket hapo bongo.
Wawili hawa wameonekana kuwa ni watu wa karibu sana sio tu kwa muonekano wa picha hizi bali hata kwa maneno ya wema wenyewe, kwani kwenye picha hiyo hapo juu Wema aliandika maneno haya;
“Feels good wen you go to a store and u get everything u can think of.... Oh it feels better when u gat da right person beside u to shop with...”
Hapo Wema anaonyesha kufurahia ‘kampani’ ya jamaa (Idris). Mengi yameongelewa sana kuhusu picha hizi lakini kiufupi mimi naona wametokelezea poa sana ila kuhusu kama ni Le project au laa mimi sijui, jionee mwenyewe hapo juu.