ETI MIMBA YA ZARI SIO YA DIAMOND VIZIBITISHO VIKO HAPA
Mimba sio ya Diamond
Katika ugomvi kati ya Zari and Chagga Barbie imedhihirika kuwa mimba aliyonayo Zari sio ya Diamond Platnumz kama inavyofahamika bali ni ya mtu aliyefahamika kwa jina moja tu la ‘Katunzi’ ambae Chagga Barbie alimtaja.Ujumbe Huo hapo juu unatoka kwa Stella Tillya a.k.a Chagga Barbie ambae amepost kwa kutumia jina la kiuficho na kujiita Muke ya Muganda.