HIZI FASHION ZA HAWA WASANII NI HATARI KWA JAMII: KIM VS BEYONCE

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian.

New York, Marekani

MTANGAZAJI maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian amefungukia gauni lake alilolivaa hivi karibuni na kusema kuwa hajamuiga staa mwenzake, Beyonce Knowles ambaye naye alilivaa.

Beyonce Knowles.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, staa huyo alisema kwamba vazi alilovaa siku hiyo katika hafla maalum ambayo hutawaliwa na fasheni…

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian.

New York, Marekani
MTANGAZAJI maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian amefungukia gauni lake alilolivaa hivi karibuni na kusema kuwa hajamuiga staa mwenzake, Beyonce Knowles ambaye naye alilivaa.

Beyonce Knowles.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, staa huyo alisema kwamba vazi alilovaa siku hiyo katika hafla maalum ambayo hutawaliwa na fasheni za hali ya juu kutoka kwa mastaa Marekani iitwayo Met Gala na kujitetea kuwa liliwahi kuvaliwa na mwanamitindo, Cher (68).

“Nilikutana na Cher na kumueleza kuwa nimevutiwa na picha yake ya gauni hilo na kumwambia kuwa nitalivaa usiku! Ni mrembo! Nafurahi kukutana naye!”Vazi hilo pia liliwahi kuvaliwa katika maonesho ya Peter Dunda likiwa limebuniwa na Roberto Cavalli.