eETI BONGO KILA KITU LIGI:Kidoa Ayasifia Makalio Yake, Ampa Makavu Agness Masogange




Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenziye Agnes Gerald ‘Masogange,’ akimponda kuwa kalio lake siyo orijino kwani wakati mwingine hulijaladia.

Kidoa amesema amekuwa akimshangaa mrembo huyo kwa kujianika mtandaoni akionekana ana kalio kubwa kumbe siyo orijino.


“Masogange cha mtoto kwangu, ni kweli kalio analo lakini siyo kubwa kama linavyoonekana kwenye picha anazopiga. Nasikia huwa anajaladia kwa kuvaa taiti zenye masponji, sasa atashindana na mimi?”alihoji Kidoa.