UMELIONA TUMBO LA SHEM WA TAIFA? KALIONYESHA RASMI KWA PICHA ALIZOPOST INSTA
Labda uliziona picha za mwanzoni za mrembo Zari kutoka Uganda lakini ukaamini maneno ya wengine kwamba shemeji yetu huyu kwa Diamond Platnumz alidanganya kuhusu kuwa na ujauzito huo wa Diamond.
Picha mpya kutoka kwake right now ni hii hapa chini ikionyesha jinsi ujauzito wake unavyozidi kukua…